sw_tn/2ki/08/03.md

365 B

kwa mfalme

Hii inarejelea kwa mfalme wa Israeli.

kwa ajili ya nyumba yake na nchi yake

wakati yule mwanamke alipokwenda, nyumba yake na vitu vyake vilizingirwa. Anaanza kuvirudisha kwa ajili yake.

Sasa

Hili neno linatumika hapa kugawanya kwenye hadithi kuu. Hapa mwandishi anatuambia historia kuhusu mfalme alichokuwa akifanya wakati mwanamke alipofika.