# kwa mfalme Hii inarejelea kwa mfalme wa Israeli. # kwa ajili ya nyumba yake na nchi yake wakati yule mwanamke alipokwenda, nyumba yake na vitu vyake vilizingirwa. Anaanza kuvirudisha kwa ajili yake. # Sasa Hili neno linatumika hapa kugawanya kwenye hadithi kuu. Hapa mwandishi anatuambia historia kuhusu mfalme alichokuwa akifanya wakati mwanamke alipofika.