sw_tn/2ki/08/03.md

12 lines
365 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa mfalme
Hii inarejelea kwa mfalme wa Israeli.
# kwa ajili ya nyumba yake na nchi yake
wakati yule mwanamke alipokwenda, nyumba yake na vitu vyake vilizingirwa. Anaanza kuvirudisha kwa ajili yake.
# Sasa
Hili neno linatumika hapa kugawanya kwenye hadithi kuu. Hapa mwandishi anatuambia historia kuhusu mfalme alichokuwa akifanya wakati mwanamke alipofika.