sw_tn/2ki/07/07.md

395 B

Maelezo ya Jumla

Hivi ndivyo ilivyotokea baada ya Bwana kusababisha maaskari Washami kufikiri wamesikia jeshi kubwa la adui linakaribia kambi yao.

jioni

Hii inarejea jioni mapema baada ya jua kuzama, lakini nyuma yake ni giza.

nyara

Hii inarejea kwa vitu ambavyo huchukuliwa na jeshi lililoshinda kutoka jeshi jingine ambalo limeshindwa. Hapa inarejea kwa "fedha na dhahabu na nguo."