# Maelezo ya Jumla Hivi ndivyo ilivyotokea baada ya Bwana kusababisha maaskari Washami kufikiri wamesikia jeshi kubwa la adui linakaribia kambi yao. # jioni Hii inarejea jioni mapema baada ya jua kuzama, lakini nyuma yake ni giza. # nyara Hii inarejea kwa vitu ambavyo huchukuliwa na jeshi lililoshinda kutoka jeshi jingine ambalo limeshindwa. Hapa inarejea kwa "fedha na dhahabu na nguo."