sw_tn/2ki/06/01.md

326 B

Wana wa manabii

Hii haimaanishi kwamba walikuwa wana wa manabii, badala yake, kwamba walikuwa kundi la manabii.

twendeni Yoradani

Hii inarejea kwenye eneo la Mto Yordani. "twendeni karibu na Mto Yordani"

watumishi wako

Hapa mmoja wa nabii anarejewa kwa wana wa manabii kama watumishi wa Elisha kumuonyesha heshima.