# Wana wa manabii Hii haimaanishi kwamba walikuwa wana wa manabii, badala yake, kwamba walikuwa kundi la manabii. # twendeni Yoradani Hii inarejea kwenye eneo la Mto Yordani. "twendeni karibu na Mto Yordani" # watumishi wako Hapa mmoja wa nabii anarejewa kwa wana wa manabii kama watumishi wa Elisha kumuonyesha heshima.