sw_tn/2ki/05/23.md

360 B

talanta mbili

Hii inaweza kuandikwa katika vipimo vya kisasa. Hizi talanta za fedha. "talanta mbili za fedha" au "kilo 68 za fedha"

kuzitandaza juu ya wawili

"kuwapatia"

Naamani alimwagiza Gehazi

Naamani alimwagiza kuchukua zawadi. "Naamani alimwagiza kuchukua zawadi"

Mtumishi wako

Gehazi anajirejea yeye mwenyewe hapa kama mtumishi wa Elisha.