sw_tn/2ki/05/23.md

16 lines
360 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# talanta mbili
Hii inaweza kuandikwa katika vipimo vya kisasa. Hizi talanta za fedha. "talanta mbili za fedha" au "kilo 68 za fedha"
# kuzitandaza juu ya wawili
"kuwapatia"
# Naamani alimwagiza Gehazi
Naamani alimwagiza kuchukua zawadi. "Naamani alimwagiza kuchukua zawadi"
# Mtumishi wako
Gehazi anajirejea yeye mwenyewe hapa kama mtumishi wa Elisha.