# talanta mbili Hii inaweza kuandikwa katika vipimo vya kisasa. Hizi talanta za fedha. "talanta mbili za fedha" au "kilo 68 za fedha" # kuzitandaza juu ya wawili "kuwapatia" # Naamani alimwagiza Gehazi Naamani alimwagiza kuchukua zawadi. "Naamani alimwagiza kuchukua zawadi" # Mtumishi wako Gehazi anajirejea yeye mwenyewe hapa kama mtumishi wa Elisha.