sw_tn/2ki/05/17.md

1.0 KiB

Kama sivyo

Maneno yanayokosekana yanaweza kuongezwa. "Kama hutachukua zawadi nilizokuletea"

acha apewe mtumishi wako huko

Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji.

mzigo wa baghala mbili za aridhi

Naamnai anauliza kuchukua udongo kutoka Israeli na kuuweka kwenye magunia kwa baghala mbili kubeba nyumbani pamoja naye. Kisha alipanga kujenga madhabahu kwenye udongo.

mtumishi wako

Naamani anajirejea mwenyewe kama mtumishi wa Elisha kumheshimu.

hatotoa tena sadaka ya kuteketezwa wala dhabihu kwa mungu yeyote isipokuwa Yahwe

Hii inaweza kuandikwa katika muundo chanya. "hatatoa sadaka ya kuteketeza au dhabihu kwa mungu yeyote isipokuwa Yahwe"

wakati mfalme wangu

Hii inamrejea mfalme wa Shami, mfalme ambaye Naamani alimtumikia.

akajifunza kwenye mkono wangu

"alijisaidia mwenyewe juu ya mkono wangu." Hii inamaanisha kwamba Naamani humsaidia mfalme wakati ainapo katika nyumba ya Rimoni kwa sababu mfalme ni mzee au anaumwa.

Nenda kwa amani

"Nenda nyumbani na usiwe na wasi" au "ondoka bila wasi"