# Kama sivyo Maneno yanayokosekana yanaweza kuongezwa. "Kama hutachukua zawadi nilizokuletea" # acha apewe mtumishi wako huko Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji. # mzigo wa baghala mbili za aridhi Naamnai anauliza kuchukua udongo kutoka Israeli na kuuweka kwenye magunia kwa baghala mbili kubeba nyumbani pamoja naye. Kisha alipanga kujenga madhabahu kwenye udongo. # mtumishi wako Naamani anajirejea mwenyewe kama mtumishi wa Elisha kumheshimu. # hatotoa tena sadaka ya kuteketezwa wala dhabihu kwa mungu yeyote isipokuwa Yahwe Hii inaweza kuandikwa katika muundo chanya. "hatatoa sadaka ya kuteketeza au dhabihu kwa mungu yeyote isipokuwa Yahwe" # wakati mfalme wangu Hii inamrejea mfalme wa Shami, mfalme ambaye Naamani alimtumikia. # akajifunza kwenye mkono wangu "alijisaidia mwenyewe juu ya mkono wangu." Hii inamaanisha kwamba Naamani humsaidia mfalme wakati ainapo katika nyumba ya Rimoni kwa sababu mfalme ni mzee au anaumwa. # Nenda kwa amani "Nenda nyumbani na usiwe na wasi" au "ondoka bila wasi"