sw_tn/2ki/05/17.md

32 lines
1.0 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama sivyo
Maneno yanayokosekana yanaweza kuongezwa. "Kama hutachukua zawadi nilizokuletea"
# acha apewe mtumishi wako huko
Hii inaweza kuelezwa katika muundo tendaji.
# mzigo wa baghala mbili za aridhi
Naamnai anauliza kuchukua udongo kutoka Israeli na kuuweka kwenye magunia kwa baghala mbili kubeba nyumbani pamoja naye. Kisha alipanga kujenga madhabahu kwenye udongo.
# mtumishi wako
Naamani anajirejea mwenyewe kama mtumishi wa Elisha kumheshimu.
# hatotoa tena sadaka ya kuteketezwa wala dhabihu kwa mungu yeyote isipokuwa Yahwe
Hii inaweza kuandikwa katika muundo chanya. "hatatoa sadaka ya kuteketeza au dhabihu kwa mungu yeyote isipokuwa Yahwe"
# wakati mfalme wangu
Hii inamrejea mfalme wa Shami, mfalme ambaye Naamani alimtumikia.
# akajifunza kwenye mkono wangu
"alijisaidia mwenyewe juu ya mkono wangu." Hii inamaanisha kwamba Naamani humsaidia mfalme wakati ainapo katika nyumba ya Rimoni kwa sababu mfalme ni mzee au anaumwa.
# Nenda kwa amani
"Nenda nyumbani na usiwe na wasi" au "ondoka bila wasi"