sw_tn/2ki/05/08.md

508 B

Maelezo ya Jumla:

Elisha alizungumza na Mfalme wa Israeli kuhusu Naamani.

Kwa nini umechana mavazi yako?

Elisha anauliza swali hili lisilo na majibu kusisitiza kwa mfalme kwamba hahitaji kuwa na huzuni na kuchana mavazi yake.

mwili wako utarudishwa

Hii inaweza kuandikwa katika umbo tendaji. "mwili wako utapona"

utakuwa msafi

hii inamaanisha kwamba hatakuwa najisi tena. Mtu ambaye Mungu anamfikiria kiroho hatakiwi au najisi anazunguziwa kana kwamba huyo mtu alikuwa alikuwa mchafu kimwili.