# Maelezo ya Jumla: Elisha alizungumza na Mfalme wa Israeli kuhusu Naamani. # Kwa nini umechana mavazi yako? Elisha anauliza swali hili lisilo na majibu kusisitiza kwa mfalme kwamba hahitaji kuwa na huzuni na kuchana mavazi yake. # mwili wako utarudishwa Hii inaweza kuandikwa katika umbo tendaji. "mwili wako utapona" # utakuwa msafi hii inamaanisha kwamba hatakuwa najisi tena. Mtu ambaye Mungu anamfikiria kiroho hatakiwi au najisi anazunguziwa kana kwamba huyo mtu alikuwa alikuwa mchafu kimwili.