sw_tn/2ki/05/08.md

16 lines
508 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Maelezo ya Jumla:
Elisha alizungumza na Mfalme wa Israeli kuhusu Naamani.
# Kwa nini umechana mavazi yako?
Elisha anauliza swali hili lisilo na majibu kusisitiza kwa mfalme kwamba hahitaji kuwa na huzuni na kuchana mavazi yake.
# mwili wako utarudishwa
Hii inaweza kuandikwa katika umbo tendaji. "mwili wako utapona"
# utakuwa msafi
hii inamaanisha kwamba hatakuwa najisi tena. Mtu ambaye Mungu anamfikiria kiroho hatakiwi au najisi anazunguziwa kana kwamba huyo mtu alikuwa alikuwa mchafu kimwili.