sw_tn/2ki/04/01.md

442 B

wana wa manabii

Hii haimaanishi kwamba walikuwa wana wa manabii, badala yake, walikuwa kundi la manabii.

Mtumishi wako mume wangu

"Mume wangu, aliyekuwa mtumishi wako"

mwia

mtu atoaye pesa kwa wengine

Watumishi wako hawana kitu

Mwanamke anajirejea mwenyewe kama mtumishi wa Elisha kumuonyesha heshima.

hakuna kitu katika nyumba, isipokuwa sufuria ya mafuta

Kitu pekee cha thamani alichokuwa nacho kilikuwa chupa ya mafuta.