sw_tn/2ki/04/01.md

20 lines
442 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wana wa manabii
Hii haimaanishi kwamba walikuwa wana wa manabii, badala yake, walikuwa kundi la manabii.
# Mtumishi wako mume wangu
"Mume wangu, aliyekuwa mtumishi wako"
# mwia
mtu atoaye pesa kwa wengine
# Watumishi wako hawana kitu
Mwanamke anajirejea mwenyewe kama mtumishi wa Elisha kumuonyesha heshima.
# hakuna kitu katika nyumba, isipokuwa sufuria ya mafuta
Kitu pekee cha thamani alichokuwa nacho kilikuwa chupa ya mafuta.