# wana wa manabii Hii haimaanishi kwamba walikuwa wana wa manabii, badala yake, walikuwa kundi la manabii. # Mtumishi wako mume wangu "Mume wangu, aliyekuwa mtumishi wako" # mwia mtu atoaye pesa kwa wengine # Watumishi wako hawana kitu Mwanamke anajirejea mwenyewe kama mtumishi wa Elisha kumuonyesha heshima. # hakuna kitu katika nyumba, isipokuwa sufuria ya mafuta Kitu pekee cha thamani alichokuwa nacho kilikuwa chupa ya mafuta.