sw_tn/2ki/02/19.md

310 B

Watu wa mji

"Viongozi wa mji"

hali ya huu mji ni mzuri

Hii inamaanisha kwamba mji uko katika sehemu nzuri. "huu mji uko katika sehemu nzuri" au "huu mji uko katika mahali pazuri"

kama bwana wangu aonavyo

Watu wanarejea kwa Elisha hapa kama "bwana wangu" kumheshimu.

kuzaa

"kutoa matunda mazuri"