sw_tn/2ki/02/19.md

16 lines
310 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Watu wa mji
"Viongozi wa mji"
# hali ya huu mji ni mzuri
Hii inamaanisha kwamba mji uko katika sehemu nzuri. "huu mji uko katika sehemu nzuri" au "huu mji uko katika mahali pazuri"
# kama bwana wangu aonavyo
Watu wanarejea kwa Elisha hapa kama "bwana wangu" kumheshimu.
# kuzaa
"kutoa matunda mazuri"