# Watu wa mji "Viongozi wa mji" # hali ya huu mji ni mzuri Hii inamaanisha kwamba mji uko katika sehemu nzuri. "huu mji uko katika sehemu nzuri" au "huu mji uko katika mahali pazuri" # kama bwana wangu aonavyo Watu wanarejea kwa Elisha hapa kama "bwana wangu" kumheshimu. # kuzaa "kutoa matunda mazuri"