sw_tn/2ki/02/13.md

16 lines
610 B
Markdown

# vazi
Vazi lilikuwa vazi la mnyama la nabii. Ilikuwa alama ya kazi yake. Wakati Elisha alipochukua vazi lake alikuwa akisema alikuwa akichukua nafasi ya Elisha kama nabii.
# Yhawe yuko wapi, Mungu wa Eliya?
Elisha anauliza kama Yahwe yu pamoja naye kama alivyokuwa na Eliya. "Yahwe, Mungu wa Eliya, je uko pamoja nami hapa?"
# ziligawanyika katika sehemu zote na Elisha akapita
Mto uligawanyika na Elisha akatembea upande wa pili wa nchi kavu, vivyo hivyo akafanya kama awali wakati alipokuwa na Eliya.
# pande zote
"hata kulia na kushoto." Hii inarejea kwa kulia na kushoto ambapo Eliya alipiga maji.