sw_tn/2ki/02/13.md

610 B

vazi

Vazi lilikuwa vazi la mnyama la nabii. Ilikuwa alama ya kazi yake. Wakati Elisha alipochukua vazi lake alikuwa akisema alikuwa akichukua nafasi ya Elisha kama nabii.

Yhawe yuko wapi, Mungu wa Eliya?

Elisha anauliza kama Yahwe yu pamoja naye kama alivyokuwa na Eliya. "Yahwe, Mungu wa Eliya, je uko pamoja nami hapa?"

ziligawanyika katika sehemu zote na Elisha akapita

Mto uligawanyika na Elisha akatembea upande wa pili wa nchi kavu, vivyo hivyo akafanya kama awali wakati alipokuwa na Eliya.

pande zote

"hata kulia na kushoto." Hii inarejea kwa kulia na kushoto ambapo Eliya alipiga maji.