# vazi Vazi lilikuwa vazi la mnyama la nabii. Ilikuwa alama ya kazi yake. Wakati Elisha alipochukua vazi lake alikuwa akisema alikuwa akichukua nafasi ya Elisha kama nabii. # Yhawe yuko wapi, Mungu wa Eliya? Elisha anauliza kama Yahwe yu pamoja naye kama alivyokuwa na Eliya. "Yahwe, Mungu wa Eliya, je uko pamoja nami hapa?" # ziligawanyika katika sehemu zote na Elisha akapita Mto uligawanyika na Elisha akatembea upande wa pili wa nchi kavu, vivyo hivyo akafanya kama awali wakati alipokuwa na Eliya. # pande zote "hata kulia na kushoto." Hii inarejea kwa kulia na kushoto ambapo Eliya alipiga maji.