sw_tn/2ki/02/09.md

16 lines
301 B
Markdown

# Ikawa
"ikatokea"
# kupita
Hii inarejea kupita Mto Yordani. "kupita juu ya Mto Yordani"
# kabla sijachukuliwa kutoka kwako
"kabla Yahwe hajanichukua kutoka kwako"
# sehemu kubwa ya roho yako
Hapa roho ya Eliya inarejea kwa nguvu ya roho. "mara mbili zaidi ya mara mbili ya nguvu yako ya roho"