sw_tn/2ki/02/09.md

301 B

Ikawa

"ikatokea"

kupita

Hii inarejea kupita Mto Yordani. "kupita juu ya Mto Yordani"

kabla sijachukuliwa kutoka kwako

"kabla Yahwe hajanichukua kutoka kwako"

sehemu kubwa ya roho yako

Hapa roho ya Eliya inarejea kwa nguvu ya roho. "mara mbili zaidi ya mara mbili ya nguvu yako ya roho"