# Ikawa "ikatokea" # kupita Hii inarejea kupita Mto Yordani. "kupita juu ya Mto Yordani" # kabla sijachukuliwa kutoka kwako "kabla Yahwe hajanichukua kutoka kwako" # sehemu kubwa ya roho yako Hapa roho ya Eliya inarejea kwa nguvu ya roho. "mara mbili zaidi ya mara mbili ya nguvu yako ya roho"