sw_tn/2co/13/11.md

16 lines
262 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anafunga barua hii kwa waamini Wakorintho.
# fanyeni kazi kwa ajili ya urejesho
"tenda kazi kufikia ukomavu"
# kubalianeni ninyi kwa ninyi
"muishi kwa mahusiano mazuri na kila mtu"
# kwa busu takatifu
"kwa upendo wa Kikristo"