# Sentensi Unganishi Paulo anafunga barua hii kwa waamini Wakorintho. # fanyeni kazi kwa ajili ya urejesho "tenda kazi kufikia ukomavu" # kubalianeni ninyi kwa ninyi "muishi kwa mahusiano mazuri na kila mtu" # kwa busu takatifu "kwa upendo wa Kikristo"