sw_tn/2co/13/11.md

262 B

Sentensi Unganishi

Paulo anafunga barua hii kwa waamini Wakorintho.

fanyeni kazi kwa ajili ya urejesho

"tenda kazi kufikia ukomavu"

kubalianeni ninyi kwa ninyi

"muishi kwa mahusiano mazuri na kila mtu"

kwa busu takatifu

"kwa upendo wa Kikristo"