sw_tn/2co/12/16.md

20 lines
524 B
Markdown

# Lakini, kwa kuwa mimi ni mwerevu, nimekuwa ambaye niliwapata kwa udanganyifu
Paulo anatumia neno la kejeli kuwaaibisha Wakorintho wanaofikiri naliwadanganya hata kama hakuwaomba pesa.
# Nilichukua kitu kwenu kupitia kwa mtu yeyote niliyemtuma?
"Hakuna mtu niliyemtuma akachukua kitu kwenu!"
# Je Tito alichukua kitu kwenu?
"Tito hakuchukua kitu kwenu."
# Hatukuenenda kwa mwenendo ule ule?
"Sote tulikuwa na tabia na maisha yanayofanana."
# Hatukuenenda kwa namna ileile?
"Sote tulifanya kwa namna inayofanana."