sw_tn/2co/12/16.md

524 B

Lakini, kwa kuwa mimi ni mwerevu, nimekuwa ambaye niliwapata kwa udanganyifu

Paulo anatumia neno la kejeli kuwaaibisha Wakorintho wanaofikiri naliwadanganya hata kama hakuwaomba pesa.

Nilichukua kitu kwenu kupitia kwa mtu yeyote niliyemtuma?

"Hakuna mtu niliyemtuma akachukua kitu kwenu!"

Je Tito alichukua kitu kwenu?

"Tito hakuchukua kitu kwenu."

Hatukuenenda kwa mwenendo ule ule?

"Sote tulikuwa na tabia na maisha yanayofanana."

Hatukuenenda kwa namna ileile?

"Sote tulifanya kwa namna inayofanana."