# Lakini, kwa kuwa mimi ni mwerevu, nimekuwa ambaye niliwapata kwa udanganyifu Paulo anatumia neno la kejeli kuwaaibisha Wakorintho wanaofikiri naliwadanganya hata kama hakuwaomba pesa. # Nilichukua kitu kwenu kupitia kwa mtu yeyote niliyemtuma? "Hakuna mtu niliyemtuma akachukua kitu kwenu!" # Je Tito alichukua kitu kwenu? "Tito hakuchukua kitu kwenu." # Hatukuenenda kwa mwenendo ule ule? "Sote tulikuwa na tabia na maisha yanayofanana." # Hatukuenenda kwa namna ileile? "Sote tulifanya kwa namna inayofanana."