sw_tn/2co/12/14.md

25 lines
635 B
Markdown

# Nawataka ninyi
"Ninachihitaji ni kwamba mnipende na kunikubali"
# watoto hawapaswi kuweka akiba kwa ajili ya wazazi.
Watoto wadogo hawawajibiki kutunza fedha kwa afya za wazazi wao.
# Nitafurahi zaidi kutumia
Pailo anazungumzia kazi yake na maisha yake ya mwili kama vile ilikuwa fedha ambazo yeye au Mungu angetumia.
# kwa ajili ya nafsi zenu
Neno
'roho" ni linawakilisha watu wenyeywe.
# Kama ninawapenda zaidi, natakiwa kupendwa kidogo?
Swali hili lakujihoji linaweza kutafsiriwa hivi: "Kama niawapenda ninyi sana, ninyi hampaswi kunipenda mimi kidogo.
# zaidi
Haiko bayana nini Paulo kusema " pendo la Paulo ni zaidi"