# Nawataka ninyi "Ninachihitaji ni kwamba mnipende na kunikubali" # watoto hawapaswi kuweka akiba kwa ajili ya wazazi. Watoto wadogo hawawajibiki kutunza fedha kwa afya za wazazi wao. # Nitafurahi zaidi kutumia Pailo anazungumzia kazi yake na maisha yake ya mwili kama vile ilikuwa fedha ambazo yeye au Mungu angetumia. # kwa ajili ya nafsi zenu Neno 'roho" ni linawakilisha watu wenyeywe. # Kama ninawapenda zaidi, natakiwa kupendwa kidogo? Swali hili lakujihoji linaweza kutafsiriwa hivi: "Kama niawapenda ninyi sana, ninyi hampaswi kunipenda mimi kidogo. # zaidi Haiko bayana nini Paulo kusema " pendo la Paulo ni zaidi"