sw_tn/2co/12/14.md

635 B

Nawataka ninyi

"Ninachihitaji ni kwamba mnipende na kunikubali"

watoto hawapaswi kuweka akiba kwa ajili ya wazazi.

Watoto wadogo hawawajibiki kutunza fedha kwa afya za wazazi wao.

Nitafurahi zaidi kutumia

Pailo anazungumzia kazi yake na maisha yake ya mwili kama vile ilikuwa fedha ambazo yeye au Mungu angetumia.

kwa ajili ya nafsi zenu

Neno 'roho" ni linawakilisha watu wenyeywe.

Kama ninawapenda zaidi, natakiwa kupendwa kidogo?

Swali hili lakujihoji linaweza kutafsiriwa hivi: "Kama niawapenda ninyi sana, ninyi hampaswi kunipenda mimi kidogo.

zaidi

Haiko bayana nini Paulo kusema " pendo la Paulo ni zaidi"