sw_tn/2co/12/11.md

56 lines
1.4 KiB
Markdown

# Sentensi Unganishi
Paulo anawakumbusha waamini wa Korintho juu ya ishara za kweli za mtume na uvumilivu wake mbele zao kuwatia nguvu.
# Mimi nimekuwa mpumbavu
"ninatenda kama mpumbavu"
# mlinilazimisha kwa hili
"mlinilazimisha kuongea kwa njia hii"
# nilipaswa kusimesifiwa na ninyi.
"ni sifa ambayo mlipaswa kunipa"
# sifa
" Ina maanisha "sifa" na "kushuhudiwa"
# Kwa kuwa sikuwa duni
"kwa kutumia kauli ya kukanusha, anasema kwa nguvu kwamba hao wakorintho wanaodhani kuwa yuko duni hawako sahihi.
# mitume--bora
Mitume-Paulo anatumia neno hili kwa kejeli kuonyesha kuwa hawana umuhimu kama wanavyodai.
# Ishara za kweli za mtume zilifanyika
Sentensi hii ionaweza kutafsiriwa katika kauli tendaji pamoja na msisitizo juu ya "ishara"
# ishara....ishara
Tumia maneno yote kwa wakati mmoja
# ishara na maajabu
Kuna ishara za "kweli za mitume" ambazo Paulo alizitenda kwa uvumilivu mwingi.
# Kwa namna gani mlikuwa wa muhimu wa chini kuliko makanisa... isipokuwa ...ninyi
Paulo anasisitiza kuwa Wakorintho wanafanya makosa kumshitaki Paulo kwa kutaka kuwaumiza.
# sikuwa mzigo kwenu
"sikuwaomba pesa au vitu vingine nilivyohitaji"
# Mnisamehe kwa kosa hili
Paulo amekuwa mwenye kukejeli kuwaaibisha Wakorintho. Pia yeye na wao wanajua kuwa hajafanya baya lolote, lakini wanamfikiria kuwa kama amewakosea
# kwa kosa hili
kuto waomba pesa na mahitaji mengine aliyohitaji