# Sentensi Unganishi Paulo anawakumbusha waamini wa Korintho juu ya ishara za kweli za mtume na uvumilivu wake mbele zao kuwatia nguvu. # Mimi nimekuwa mpumbavu "ninatenda kama mpumbavu" # mlinilazimisha kwa hili "mlinilazimisha kuongea kwa njia hii" # nilipaswa kusimesifiwa na ninyi. "ni sifa ambayo mlipaswa kunipa" # sifa " Ina maanisha "sifa" na "kushuhudiwa" # Kwa kuwa sikuwa duni "kwa kutumia kauli ya kukanusha, anasema kwa nguvu kwamba hao wakorintho wanaodhani kuwa yuko duni hawako sahihi. # mitume--bora Mitume-Paulo anatumia neno hili kwa kejeli kuonyesha kuwa hawana umuhimu kama wanavyodai. # Ishara za kweli za mtume zilifanyika Sentensi hii ionaweza kutafsiriwa katika kauli tendaji pamoja na msisitizo juu ya "ishara" # ishara....ishara Tumia maneno yote kwa wakati mmoja # ishara na maajabu Kuna ishara za "kweli za mitume" ambazo Paulo alizitenda kwa uvumilivu mwingi. # Kwa namna gani mlikuwa wa muhimu wa chini kuliko makanisa... isipokuwa ...ninyi Paulo anasisitiza kuwa Wakorintho wanafanya makosa kumshitaki Paulo kwa kutaka kuwaumiza. # sikuwa mzigo kwenu "sikuwaomba pesa au vitu vingine nilivyohitaji" # Mnisamehe kwa kosa hili Paulo amekuwa mwenye kukejeli kuwaaibisha Wakorintho. Pia yeye na wao wanajua kuwa hajafanya baya lolote, lakini wanamfikiria kuwa kama amewakosea # kwa kosa hili kuto waomba pesa na mahitaji mengine aliyohitaji