sw_tn/2co/12/06.md

1.1 KiB

Sentensi Unganishi

Kama vile Paulo anavyotetea utume wake kutoka kwa Mungu, anawaambia juu ya udhaifu ambao Mungu alimpa yeye kumfanya awe mnyenyekevu.

Habari za Jumla:

Wakati paulo anazungumza juu ya "mwiba katika mwili wake"; anaonyesha kuwa yeye ni "mwanadamu"

kusikika kutoka kwangu. Sitajivuna pia kwa sababu ya hayo mafunuo ya aina ya ajabu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi, mwiba

Maana nyingine ni hii;' " kusikia kutoka kwangu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi kwa sababu ya aina ya mafunuo hayo, mwiba."

kwa sababu ya hayo mafunuo ya aina ya ajabu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi, mwiba

Maana nyingine ni hii;' " kusikia kutoka kwangu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi kwa sababu ya aina ya mafunuo hayo, mwiba."

Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi,

"kunifanya mimimnisijawe na kiburi"

kijawa na

kujazwa na hewa na kuwa kubwa mno kuliko ilivyo kawaida

mwiba katika mwili

Haapa matatizo ya Paulo ya mwili yamelinganishwa na "mwiba" unaochoma "mwili wake"

mjumbe wa shetani

"mtumishi wa shetani"

kunishambulia mimi

"kunitesa mimi"