# Sentensi Unganishi Kama vile Paulo anavyotetea utume wake kutoka kwa Mungu, anawaambia juu ya udhaifu ambao Mungu alimpa yeye kumfanya awe mnyenyekevu. # Habari za Jumla: Wakati paulo anazungumza juu ya "mwiba katika mwili wake"; anaonyesha kuwa yeye ni "mwanadamu" # kusikika kutoka kwangu. Sitajivuna pia kwa sababu ya hayo mafunuo ya aina ya ajabu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi, mwiba Maana nyingine ni hii;' " kusikia kutoka kwangu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi kwa sababu ya aina ya mafunuo hayo, mwiba." # kwa sababu ya hayo mafunuo ya aina ya ajabu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi, mwiba Maana nyingine ni hii;' " kusikia kutoka kwangu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi kwa sababu ya aina ya mafunuo hayo, mwiba." # Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi, "kunifanya mimimnisijawe na kiburi" # kijawa na kujazwa na hewa na kuwa kubwa mno kuliko ilivyo kawaida # mwiba katika mwili Haapa matatizo ya Paulo ya mwili yamelinganishwa na "mwiba" unaochoma "mwili wake" # mjumbe wa shetani "mtumishi wa shetani" # kunishambulia mimi "kunitesa mimi"