sw_tn/2co/12/06.md

36 lines
1.1 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi Unganishi
Kama vile Paulo anavyotetea utume wake kutoka kwa Mungu, anawaambia juu ya udhaifu ambao Mungu alimpa yeye kumfanya awe mnyenyekevu.
# Habari za Jumla:
Wakati paulo anazungumza juu ya "mwiba katika mwili wake"; anaonyesha kuwa yeye ni "mwanadamu"
# kusikika kutoka kwangu. Sitajivuna pia kwa sababu ya hayo mafunuo ya aina ya ajabu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi, mwiba
Maana nyingine ni hii;' " kusikia kutoka kwangu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi kwa sababu ya aina ya mafunuo hayo, mwiba."
# kwa sababu ya hayo mafunuo ya aina ya ajabu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi, mwiba
Maana nyingine ni hii;' " kusikia kutoka kwangu. Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi kwa sababu ya aina ya mafunuo hayo, mwiba."
# Kwa hiyo, hivyo sitajawa na kiburi,
"kunifanya mimimnisijawe na kiburi"
# kijawa na
kujazwa na hewa na kuwa kubwa mno kuliko ilivyo kawaida
# mwiba katika mwili
Haapa matatizo ya Paulo ya mwili yamelinganishwa na "mwiba" unaochoma "mwili wake"
# mjumbe wa shetani
"mtumishi wa shetani"
# kunishambulia mimi
"kunitesa mimi"