sw_tn/2co/11/32.md

16 lines
438 B
Markdown

# Kule Dameski, mkuu wa mkoa chini ya mfalme Areta alikuwa akiulinda mji
"mkuu wa mkoa ambaye aliteuliwa na mfalme Areta aliwaambia wanaume kuulinda mji"
# kwa kunikamata mimi
"hivyo wanaweza kunivizia na kunikamata"
# niliwekwa kwenye kikapu
Sentensi hii yaweza kuelezwa hivi: "watu baadhi waliniweka ndani ya kikapu na kunishusha chini"
# kutoka mikononi mwake
Paulo anatumia mikono ya mkuu wa mkoa kama mfano kwa mkuu wa mkoa .