sw_tn/2co/11/32.md

438 B

Kule Dameski, mkuu wa mkoa chini ya mfalme Areta alikuwa akiulinda mji

"mkuu wa mkoa ambaye aliteuliwa na mfalme Areta aliwaambia wanaume kuulinda mji"

kwa kunikamata mimi

"hivyo wanaweza kunivizia na kunikamata"

niliwekwa kwenye kikapu

Sentensi hii yaweza kuelezwa hivi: "watu baadhi waliniweka ndani ya kikapu na kunishusha chini"

kutoka mikononi mwake

Paulo anatumia mikono ya mkuu wa mkoa kama mfano kwa mkuu wa mkoa .