# Kule Dameski, mkuu wa mkoa chini ya mfalme Areta alikuwa akiulinda mji "mkuu wa mkoa ambaye aliteuliwa na mfalme Areta aliwaambia wanaume kuulinda mji" # kwa kunikamata mimi "hivyo wanaweza kunivizia na kunikamata" # niliwekwa kwenye kikapu Sentensi hii yaweza kuelezwa hivi: "watu baadhi waliniweka ndani ya kikapu na kunishusha chini" # kutoka mikononi mwake Paulo anatumia mikono ya mkuu wa mkoa kama mfano kwa mkuu wa mkoa .