sw_tn/2co/11/24.md

20 lines
611 B
Markdown

# mapigo arobaini kasoro moja
hii ilikuwa kawaida kueleza kuwa nimechapwa viboko 39. Viboko arobaini[40] inadhaniwa ni kuua mtu.
# Nilipigwa kwa fimbo
Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa kauli tendaji hivi: "watu walinipiga kwa viboko vya miti"
# "nilipigwa kwa mawe"
Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jinsi hii:"watu walinitupia mawe mpaka wakadhania kuwa nimekufa"
# Nimetumia usiku na mchana katika bahari wazi
Paulo anazungumzia muda aliokuwa majini wakati meli ilipokuwa katika kuzama.
# hatarini kwa ndugu za uongo
"na hatari toka kwa wanaojifanya kuwa ndugu katika Kristo, lakini ni wametusaliti"