sw_tn/2co/11/24.md

611 B

mapigo arobaini kasoro moja

hii ilikuwa kawaida kueleza kuwa nimechapwa viboko 39. Viboko arobaini[40] inadhaniwa ni kuua mtu.

Nilipigwa kwa fimbo

Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa kauli tendaji hivi: "watu walinipiga kwa viboko vya miti"

"nilipigwa kwa mawe"

Sentensi hii yaweza kuelezwa kwa jinsi hii:"watu walinitupia mawe mpaka wakadhania kuwa nimekufa"

Nimetumia usiku na mchana katika bahari wazi

Paulo anazungumzia muda aliokuwa majini wakati meli ilipokuwa katika kuzama.

hatarini kwa ndugu za uongo

"na hatari toka kwa wanaojifanya kuwa ndugu katika Kristo, lakini ni wametusaliti"