sw_tn/2co/11/14.md

12 lines
493 B
Markdown

# Na hii haishangazi...Hii haina mshangao mkubwa kama
kwa kusema hivi, huu ni mtazamo hasi Paulo anasisitiza kuwa Wakorintho wanpaswa kutarajia kukutana na "mitume wengi wa uongo"
# Shetani hujigeuza mwenyewe kama malaika wa nuru
"Shetani siyo malaika wa nuru, akini hujaribu kujifanya mwenyewe kuwa kama malaika wa nuru"
# watumishi wake pia kujigeuza wenyewe kama watumishi wa haki.
"watumishi wake siyo watumishi wa haki, lakini hujaribu kujifanya wenyewe kuwa kama watumishi wa haki"