sw_tn/2co/11/14.md

493 B

Na hii haishangazi...Hii haina mshangao mkubwa kama

kwa kusema hivi, huu ni mtazamo hasi Paulo anasisitiza kuwa Wakorintho wanpaswa kutarajia kukutana na "mitume wengi wa uongo"

Shetani hujigeuza mwenyewe kama malaika wa nuru

"Shetani siyo malaika wa nuru, akini hujaribu kujifanya mwenyewe kuwa kama malaika wa nuru"

watumishi wake pia kujigeuza wenyewe kama watumishi wa haki.

"watumishi wake siyo watumishi wa haki, lakini hujaribu kujifanya wenyewe kuwa kama watumishi wa haki"