# Na hii haishangazi...Hii haina mshangao mkubwa kama kwa kusema hivi, huu ni mtazamo hasi Paulo anasisitiza kuwa Wakorintho wanpaswa kutarajia kukutana na "mitume wengi wa uongo" # Shetani hujigeuza mwenyewe kama malaika wa nuru "Shetani siyo malaika wa nuru, akini hujaribu kujifanya mwenyewe kuwa kama malaika wa nuru" # watumishi wake pia kujigeuza wenyewe kama watumishi wa haki. "watumishi wake siyo watumishi wa haki, lakini hujaribu kujifanya wenyewe kuwa kama watumishi wa haki"